Adele’s Hello has gotten a lot of hearts reminiscing about their exes and Kenya’s Dela has taking it a notch higher by singing a Swahili version of the song. You just have to listen to it to appreciate its beauty.
Lyrics
Hello
Ni mimi
Baada ya miaka na mikaka, je twaweza kukutana
Turejelee yote.
Wanasema muda unaponya, mbona bado ninaumwa?
Hello
Waniskia?
Niko Pwani nikiota juu ya vile tulikuwa
Kama vijana, tulipokuwa huru
Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke
Tofauti baina yetu Na maili milioni
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe.
Hello
Waambaje?
Ni kawaida yangu kujizungumzia,oh
Niwie radhi
Natumahi utaniwia radhi
Je, uliweza hama toka ule mji uliokuboesha
Sio siri
Kuwa mi na we
Tunapitwa na masaa
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe ooh
Kamwe ooh
Kamwe ooh
Kamwe, kamwe
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi Kamwe.






Je, uliweza hama toka ule mji
uliokuboesha……..for…..i hope you made it out of that town where nothing ever happened… Fantastic!